img

Diamond afungua shoo za Kimataifa Malawi

November 4, 2020

BAADA ya kupiga chini maonyesho kibao ya Kimataifa kwa sababu za ugonjwa wa  corona, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefungua ukurasa mpya nchini Malawi kwa kupiga shoo yake ya kwanza leo. Mapema jana, Diaamond Platnumz alitua nchini humo na kupokewa na maelfu ya mashabiki  ambapo alipata muda wa kusalimiana nao kabla ya leo kutumbuiza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *