img

DC awataka wananchi kuandamana kuelekea mashambani

November 4, 2020

Francis Godwin, Iringa MKUU wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah amewataa wananchi wa wilaya hiyo kujikita zaidi katika maandamano ya shambani na katika shughuli za kimaendeleo badala ya kuwasikiliza waliokuwa wagombea wa nafasi mbalimbali wanaowaza kuvuruga amani kwa kutamani maandamano yasiyo na tija ya kiuchumi . Mkuu huyo wa wilaya alisema jana kuwa wananchi wanapaswa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *