img

Yanga kufunga mjadala Kanda ya Ziwa

November 3, 2020

Winfrida Mtoi TIMU ya Yanga inatarajia kushuka dimbani leo kuivaa Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Gwambina Complex, uliopo Misungwi, Mwanza. Mchezo huo utakuwa wa tatu mfululizo kwa Wanajangwani hao kucheza wakiwa Kanda ya Ziwa baada ya kufanikiwa kushinda mbili zilizopita. Yanga ilikwenda jijini Mwanza wiki iliyopita  ambako,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *