img

Wanafunzi walia umasikini unachangia mimba za utotoni

November 3, 2020

Janeth Mushi -Arusha BAADHI ya wanafunzi wa kike wa shule ya Sekondari Enyoito,iliyopo wilayani Arumeru mkoa wa Arusha,wamelalamikia umaskini na baadhi ya walezi na wazazi kutokuwafuatilia maendeleo yao kuwa chanzo cha mimba za utotoni. Wanafunzi hao waliyasema hayo juzi wakizungumza katika mdahalo wa namna ya kukabiliana na changamoto za ujana, zinazopelekea wasichana kupata mimba, mdahalo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *