img

Lipumba aapa kutoshiriki uchaguzi, kupigania Tume Huru

November 3, 2020

Mwandishi Wetu, Dar es salaam MWENYEKITI wa chama cha upinzani cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama chake hakitashiriki tena uchaguzi nchini humo mpaka Tume Huru ya uchaguzi iundwe. Profesa Lipumba alisema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 28, kwa kuwa umegubikwa na mapungufu. “Zoezi la kuwaapisha mawakala liliendeshwa kinyume cha taratibu, uchaguzi wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *