img

Kamati za lishe zatakiwa kusaidia jamii

November 3, 2020

Samwel Mwanga ,Maswa WAJUMBE wa kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wametakuwa kutambua wanalo jukumu kubwa la kusaidia jamii ipate uelewa wa kutosha ili iondokane na matatizo ya watoto kupata utapiamlo,udumavu na wajawazito kupata kinga wakati wa kujifungia. Hayo yalisemwa  na Mkuu wa Wilaya ya Maswa,Aswege Kaminyonge wakati akizungumza na wajumbe,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *