img

Augustino Vocal aanza kuachia ‘Kesho Yangu’

November 2, 2020

MINNESOTA, MAREKANI BAADA ya kimya cha muda mrefu, mwimbaji wa Kimataifa anayeishi Marekani, Augustino Vocal, amerudi kivingine kwa kuachia wimbo, Kesho Yangu. Akizungumza na MTANZANIA jana, Augustino alisema wimbo wake, Kesho Yangu ni moja kati ya nyimbo tatu alizopanga kuzitoa baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hivyo mashabiki wajiandae kuzipokea na kumpa sapoti kama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *