img

Wazazi watakiwa kuwaangalia watoto walihitimu elimu msingi

November 1, 2020

Na MWANDISHI WETU  WAZAZI na walezi ambao watoto wao wamehitimu elimu ya msingi wametakiwa kuweka uangalizi kwa watoto wao ili kutojihusisha na mambo yoyote ya uhalifu wanavyosubiri matokeo. Hayo yalisemwa juzi na Ofisa Elimu Kata ya Mgulani, Glory Temba, wakati akizungumza na wanafunzi na wazazi wakati wa mahafali 16 ya kuhitimu darasa la saba juzi,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *