img

Wakazi wa Kashmir wagoma kupinga sheria mpya za umiliki wa ardhi

November 1, 2020

KASHMIR, INDIA MADUKA na sehemu zote za biashara zimekufungwa leo katika jimbo la Kashmir, na wakazi wengi walibakia majumbani baada ya vikundi vya kisiasa na vya kidini kuitisha mgomo wa kuipinga sheria mpya inayowaruhusu watu wa nje kununua ardhi katika eneo hilo lenye mgogoro. Vikosi vya ziada vya usalama vya India vilivyotumwa katika eneo hilo,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *