img

Waangalizi wa Demokrasia Endelevu Afrika watoa tathimini ya uchaguzi

November 1, 2020

NA ASHA BANI-DAR ES SALAAM WAANGALIZI wa kimataifa wa Taasisi ya Uchaguzi na Demokrasia Endelevu Afrika (EISA),wamesema licha uchaguzi kufanyika kwa amani  na utulivu lakini kulikuwapo na dosari ndogo ndogo zilizojitokeza. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kiongozi Mkuu wa timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EISA, Pansy Tlakula, alisema  licha ya shughuli na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *