img

Raia wa Ivory Coast wapiga kura

November 1, 2020

ABIDJAN, IVORY COAST HATIMAYE raia wa Ivory Coast jana  wameshiriki katika zoezi la kupiga kura.  Taarifa zaidi zinafahamisha kwamba baadhi ya wafuasi wa upinzani walijaribu kuvuruga uchaguzi huo baada ya kufuata  wito kutoka kwa wagombea wawili wanaompinga rais Alassane Ouattara. Wagombea hao wawili wa upinzani  uliowataka raia kususia uchaguzi huo ambapo kiongozi huyo anawania muhula,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *