img

Kenyatta ampongeza JPM kwa ushindi

November 1, 2020

Nairobi, Kenya RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amemtumia salamu za pongezr  kwa Rais John Magufuli kwa kushinda uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Rais Kenyatta alisema kuchaguliwa tena kwa Magufuli ni ishara ya upendo na imani waliyo nayo Watanzania kwa uongozi wake. “Kwa niaba ya watu, Serikali ya Kenya na mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dk John,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *