img

‘Asilimia 80 magari ya mtumba yanayouzwa Africa ni mabovu’

November 1, 2020

Na Mwandishi wetu RIPOTI iliyochapishwa na programu ya mazingira ya Umoja wa Mataifa (UNEP), imesema mamilioni ya magari ya mitumba yanayochafua mazingira kutoka nchi tajiri huuzwa katika nchi zinazoendelea, ikiwa ni njia ya kuyatupa.  Kati ya mwaka 2015 na 2018, magari karibu milioni 14 na zaidi, yenye ubora duni yalisafirishwa kutoka Ulaya, Japan na Marekani.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *