img

Ujerumani yatangaza maambukizi mapya 16,000 ya corona ndani ya siku moja

October 30, 2020

BERLIN, UJERUMANI MAAMBUKIZI mapya 16,774 ya virusi vya corona yameripotiwa nchini Ujerumani ndani ya siku moja.  Taasisi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza nchini Ujerumani ya Robert Koch ikinukuu taarifa kutoka mamlaka za afya, imesema watu hao walithibitishwa kupata maambukizi hayo jana. Maambukizi hayo mapya yametangazwa siku moja tu baada ya watu wengine 14,964 kurekodiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *