img

Baraza la Usalama laidhinisha mkataba wa kusitisha vita Libya

October 30, 2020

GENEVA, USWISI  BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mkataba wa kusimamisha mapigano nchini Libya, huku likitoa wito kwa pande hasimu kuutekeleza kikamilifu. Duru za kidiplomasia zinaeleza kuwa azimio kuhusu Libya linatarajiwa kupitishwa na baraza hilo siku zijazo. Taarifa ya pamoja ya baraza hilo imepongeza mkataba wa kusitisha mapigano nchini Libya uliotiwa saini mjini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *