img

Wachache wajitokeza kupiga kura Dodoma

October 29, 2020

MWANDISHI WETU -DODOMA KATIKA Jimbo la Dodoma Mjini, watu wachache wamejitokeza kupiga kura katika vituo mbalimbali huku baadhi ya wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wakiwa wamekaa tu wakisubiria watu. MTANZANIA ilizunguka katika baadhi ya vituo mara baada ya upigaji kura kumalizika saa 10 jioni na ilijionea idadi ya watu wachache waliojitokeza kupiga kura tofauti na waliojiandikisha.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *