img

Shibuda agoma kupiga kura

October 29, 2020

Derick Milton/ Samwel Mwanga -Simiyu MGOMBEA urais wa kupitia Chama cha ADA-Tadea, John Shibuda amegoma kwenda kupiga kura hadi pale mawakala wake katika majimbo ya Maswa Mashariki na Magharibi mkoani Simiyu watakaporuhusiwa kuingia katika vituo vya kupiga kura. Shibuda alisema kuwa hawezi kwenda kupiga kura endapo mawakala wake hawataruhusiwa kuingia katika vyumba hivyo baada ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *