img

Jinsi kasisi alivyopanda na kuwa rais

October 29, 2020

MAHE, SEYCHELLES KATIKA jaribio lake la sita, Wavel Ramkalawan, kasisi wa Kanisa la Kianglikana, amekuwa Rais wa Seychelles na kumaliza miongo ya upinzani lakini atatakiwa kuliunganisha taifa. Kulikua na maneno machache ya kuelezea sifa zake katika hotuba ya kuapishwa kwa Ramkalawan alipokuwa akionekana kujikita zaidi katika kuwakaribisha wananchi na wageni wa heshima waliokuwa wameketi katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *