img

Waziri mkuu atetea uamuzi wa utoaji mimba

October 28, 2020

WARSAW, POLAND WAZIRI Mkuu wa Poland ametetea uamuzi wa mahakama kuhusu utoaji mimba, uliozua utata mkubwa na ambao umesababisha maandamano ya hasira kote nchini humo , yakitaka kukomesha kile wanachokiita ushenzi.  Maandamano yamefanyika Poland kwa siku sita mfululizo kupinga hukumu hiyo, ambayo itaharamisha utoaji mimba isipokuwa katika mazingira ya kwenye ubakaji, na wakati maisha ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *