img

Waasi 21 wa kundi la CODECO wauawa DRC

October 28, 2020

KINSHASA, DRC WAASI 21 wameuawa katika kipindi cha siku tatu za mapigano baina yao na jeshi la serikali katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Luteni Jenerali Philemon Yav amesema katika makabiliano na waasi hao, wanajeshi wawili waliuawa na wengine wanne wakajeruhiwa katika eneo la Walendu Tatsi, mashariki mwa mji,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *