img

Shibuda agoma kwenda kupiga kura

October 28, 2020

Derick Milton, Simiyu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA-TADEA, John Shibuda amegoma kwenda kupiga kura hadi pale mawakala wake katika majimbo ya Maswa Mashariki na Maswa Magharibi mkoani Simiyu watakaporuhusiwa kuingia katika vituo vya kupiga kura. Shibuda amesema kuwa hawezi kwenda kupiga kura endapo mawakala wake hawataruhusiwa kuingia katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *