img

Serekali kuendelea kuwawezesha wenye ulemavu

October 28, 2020

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewahakikishia watu wenye ulemavu kwamba itaendelea kuwawezesha kwa namna mbali mbali ikiwemo kuwapatia elimu ya Usalama na Afya kazini ili kutoa mchango wao kikamilifu katika maendeleo ya nchi. Kauli hiyo, ilitolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Stella Ikupa, wakati akifungua mafunzo ya usalama na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *