img

Sare za wanasiasa ni zaidi ya mavazi

October 28, 2020

Na ALOYCE NDELEIO WAKATI kampeni za vyama vya siasa kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika leo zikiwa zimekwisha, yamekuwapo mambo mengi ya kuvutia lakini mojawapo kubwa ni kutamalaki ni mavazi ambayo ni sare. Sare hizo zimevaliwa na wagombea wa nafasi mbalimbali kuanzia wagobea wa kiti cha urais, wabunge, madiwani na hata wanachama wa vyama.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *