img

NIT kulisaidia Taifa kunufaika na uchumi wa bluu

October 28, 2020

NA MWANDISHI WETU Katika kuunga mkono juhudi za taifa za kukuza uchumi wa bluu, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimepanga kuanza kutoa kozi za ujenzi na utengenezaji wa meli. Kozi hiyo maalumu katika kukuza uchumi wa bluu ama ‘Blue economy’ inatarajiwa kuanza kutolewa chuoni hapo kwa ngazi ya astashahada katika mwaka huu wa masomo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *