img

Mbaroni kwa tuhuma za kumpa mwanafunzi mimba

October 28, 2020

Na, MALIMA LUBASHA, SERENGETI. JESHI la Polisi wilayani Serengeti mkoani Mara, linamshikilia Wambura Sukuru (34) mkazi wa Mugumu kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi wa shule msingi  wakati wa likizo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona. Mkuu Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu alithibitisha kuwapo tukio hilo alipozungumza na MTANZANIA ofisini kwake kuhusu hatua,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *