img

Maadili ya uchaguzi, wajibu wa vyama na wagombea

October 28, 2020

NPa HUSSEIN MAKAME AMOJA na kuwapo sheria na kanuni za uchaguzi, historia ya chaguzi nchini Tanzania imedhihirisha umuhimu wa kuwapo kwa Maadili ya Uchaguzi ili kuepuka migogoro inayoweza kufifisha upatikanaji wa uchaguzi huru, haki, wazi na unaoaminika. Hii inatokana na ukweli kwamba ili haki ipatikane ni lazima kuwapo uwanja sawa wa ushindani na kujenga mazingira,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *