img

Libya yamtaka Macron awaombe radhi Waislamu duniani

October 28, 2020

TRIPOLI, LIBYA WIZARA ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imelaani matamshi ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na Uislamu na kumtaka afanye haraka kuwaomba radhi Waislamu duniani. Mohamed al Qablawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *