img

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

October 28, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi kutimiza ndoto za kufanya wimbo, Tena na Tena na rapa nyota nchini humo, Cannibal. Maeba ambaye ni Mtanzania anayeishi Kenya, ameliambia ukurasa huu kuwa Cannibal ni miongoni mwa wasanii wakubwa Kenya waliomvutia hivyo kufanya naye wimbo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *