img

DC Itilima: Msisubiri serikali iwalinde watoto wenu na magonjwa ya mlipuko

October 28, 2020

Derick Milton, Simiyu MKUU wa Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu Benson Kilangi amewataka wazazi, walezi kujenga tabia ya kulinda watoto wao wenyewe dhidi ya magonjwa ya mlipuko yakiwemo minyoo na kichocho. Kilangi amesema kuwa jamii haina budi kubailika na kuacha tabia ya kuisubiri serikali au wadau wa afya katika kuhakikisha afya za watoto wao zinakuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *