img

Wazazi, walezi wakumbushwa kuwapatia watoto elimu ya dini

October 27, 2020

Na AVELINE KITOMARY -DAR ES SALAAM   WAZAZI na walezi wametakiwa kuwahimiza watoto wao kupata elimu ya dini zaidi ili kuweza kuwajengea hofu na Mungu na kufata maadili mema.  Akizungumza Dar es Salaam, wakati wa mahafali ya kuhitimu elimu ya Bibilia, Meneja wa Shule ya Hope Bible School, Mchungaji Bagoma Kise alisema wazazi na walezi wengi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *