img

Viongozi wa dini watoa neno Uchaguzi Mkuu

October 27, 2020

 Na WAANDISHI WETU -DAR/MIKOANI VIONGOZI wa dini kote nchini wamezungumzia umuhimu wa amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wakitaka Watanzania kuilinda kwa kuwa ni tunu isiyohitaji kuchezewa. Akizungumza Dar es Salaam jana, Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Thadeus Ruwa’ichi alisema ni vyema Watanzania wanapokwenda kupiga kura wahimizwe kushiriki kwa ukomavu, utulivu, kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *