img

TPDC yatangaza kuanza kufanya biashara ya mafuta

October 27, 2020

Na FARAJA MASINDE -DAR ES SALAAM CHANGAMOTO ya baadhi ya wafanyabiashara kuficha mafuta na kusababisha bidhaa hiyo kukosekana katika baadhi ya nyakati, huenda ikabaki historia baada ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutangaza kuingia katika biashara hiyo kutoa huduma kwa wananchi. Akizungumza jana Dar es Salaam, Meneja Mawasiliano TPDC, Marie Msellemu, alisema katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *