img

JPM: Kapigeni kura kwa utashi wenu

October 27, 2020

Na NORA DAMIAN -DODOMA RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga kura kisha kurudi nyumbani. “Tarehe 28 tuitumie kujenga mazuri, tuitumie katika kujenga umoja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *