img

NEC yaonya hakuna vituo hewa

October 26, 2020

Na RAMADHAN HASSAN – DODOMA TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), imesema hakuna kituo wala mpiga kura hewa tofauti na waliopo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hivyo kuwataka wote wenye ushahidi wa uwepo wa tuhuma hizo kuwasilisha ushahidi wao kinyume na hilo watachukuliwa hatua za kisheria. Hayo yalielezwa jijini Dodoma jana na Mkurugenzi wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *