img

Rais wa Poland aambukizwa virusi vya corona

October 25, 2020

WARSAW, POLAND WAKATI Marekani na nchi nyingine zikiendelea kushuhudia maambukizi ya juu ya virusi  vya corona, Rais wa Poland, Andrzej Duda ameambukizwa virusi vya hivyo, kulingana na taarifa zilizotolewa jana na msemaji wake baada ya kufanyiwa vipimo.  Msemaji huyo, Blazej Spychalski, ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba Duda amewekwa karantini na anaendelea vizuri. ,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *