img

Papa akosolewa kwa kuleta mkanganyiko wapenzi wa jinsia moja

October 25, 2020

VATICAN, ITALIA MMOJA wa wakosoaji wakubwa wa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kauli yake ya hivi karibuni kuhusu wapenzi wa jinsia moja ni maoni binafsi ambayo hayastahili kuzingatiwa na Wakatoliki. Kadinali Raymond Burke anayeonekana kuwa mhafidhina katika Kanisa Katoliki, ametoa tamko hilo siku chache baada ya Papa Francis kuonekana kuunga mkono wazo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *