img

Mgombea urais NCCR aahidi neema Mara

October 25, 2020

NA SHOMARI BINDA, MUSOMA MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha NCCR Mageuzi, Jeremia Makanja, amewaahidi wananchi wa Mkoa wa Mara kunufaika na rasilimali zilizopo kwenye mkoa huo. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye eneo la stendi ya Nyasho Manispaa ya Musoma, alisema wananchi wa Mkoa wa Mara hawapaswi kuishi katika mazingira magumu. Alisema,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *