img

‘Magu Chuma’ ya Simorix Jenerali yaendelea kupeta

October 25, 2020

SYDNEY, AUSTRALIA RAPA nyota kutoka Sydney, Australia, Simorix Jenerali a.k.a The General, amewashukuru Watanzania kwa mapokezi makubwa ya video yake, Magu Chuma aliyoiachia hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali. Akizungumza na MTANZANIA jana, The General alisema sababu za kuimba wimbo huo ni kutokana na sifa nyingi anazopata Rais Magufuli na raia wa Australia hivyo akiwa kama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *