img

Kunenga aonya watakaofanya fujo siku ya uchaguzi Oktoba 28

October 25, 2020

Na BRIGHITER MASAKI-DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, ametoa onyo kwa watu au vikundi vya watu vilivyofanya fujo siku ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, jana jijini Dar es Salaam, Kunenge alisema vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *