img

Andengenya aonya wanasiasa wanaopandikiza chuki

October 25, 2020

Na Editha Karlo-Kigoma MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amewataka wanasiasa kuacha kutoa kauli za kuchonganisha wananchi na Serikali ili wawaunge mkono katika kampeni zao jambo ambalo ni kinyume na sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya nchi yetu. Akizungumza na waandishi wa habari alisema hivi karibuni kumeibuka madai ya baadhi ya viongozi wa vyama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *