img

Mgombea ubunge Bariadi ahaidi Neema kidato cha nne

October 24, 2020

Derick Milton, Simiyu Mgombea ubunge jimbo la Bariadi Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Mhandisi Andrea Kundo amehaidi kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha nne ambao watapata ufahulu wa daraja la kwanza alama saba na nane katika mtihani wa kitaifa mwaka huu. Kundo amesema kuwa Mwanafunzi yeyote ambaye atapata ufahulu huo, atamsomesha kidato cha tano,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *