img

JPM: Nataka Arusha iwe kama Calfornia

October 24, 2020

Nora Damian -Arusha MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameahidi mambo manane kwa Mkoa wa Arusha na kusema ana- taka iwe ndiyo Calfornia ya Tanzania. Jana Dk. Magufuli aliingia mkoani Arusha ukiwa ni mkoa wa 18 kufanya kampeni tangu alipozindua Agosti 29 mwaka huu jijini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *