img

Dk. Chaula: Mpango wa anwani makazi kurahisisha biashara

October 24, 2020

Mwandishi Wetu -Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dk. Zainab Chaula, amesema ukamilishaji mpango wa anwani za makazi na postikodi unaotarajiwa kufikia halmashauri zote nchini ifikapo mwaka 2022, kutarahisisha shughuli za biashara mtandao na huduma za posta mlangoni. Alisema hayo alipokuwa akizungumza wakati wa ziara ya kukagua uwekaji wa namba za nyumba,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *