img

October 24, 2020

Na Brighiter Masaki Kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge kuitaka taasisi ya TICTS kuhakikisha kontena sita zenye Vifaa vya Ujenzi wa Stand mpya ya Mbezi Louis zilizokuwa zimekwama Bandarin kutoka ndani ya masaa mawili, hatimae Taasisi hiyo imetekeleza mara moja agizo hilo. Mapema leo Kunenge amefika Stand mpya ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *