img

Wakili mbaroni kwa shtaka la kujeruhi kwa makusudi

October 23, 2020

NA GODFREY SHAURI, DAR ES SALAAM Wakili Jackline Ghikas (24), Mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika ya Mahakama ya Wilaya ya Hakimu mkazi Kinondoni kwa shtaka la kujeruhi kwa makusudi. Awali akisoma hati mashtaka mbele ya Hakimu  Franco Kiswaga, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Sylha Mitanto, alidai Septemba 9 mwaka jana,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *