img

Nicki Minaj amuanika mtoto wake

October 23, 2020

NEW YORK, MAREKANI  HATIMAYE msanii wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, amemuanika mtoto wake kwa mara ya kwanza tangu alipojifungua mwishoni mwa mwezi uliopita. Msanii huyo mwenye umri wa miaka 37, alitumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuposti picha ya mguu wa mtoto huyo wa kiume huku akimtakia heri mume wake,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *