img

Jela miaka miwili kwa kuua mke bila kukusudia

October 23, 2020

Kulwa Mzee , Dar es salaam MKAZI wa Dar es Salaam Yusuph Ismail (45), aliyekaa mahabusu miaka saba amehukumiwa kwenda jela miaka miwili, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mkewe bila kukusudia. Mshtakiwa huyo alitiwa hatiani jana na Mahakama Kuu iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *