img

EL Clasico – Mechi ya kipekee katika ligi ya La Liga

October 23, 2020

Barcelona Kuwakaribisha Real Madrid Ni mara chache sana kuona mechi inateka hisia za mashabiki ulimwenguni kama ilivyo El Clasico! Hilo sio jambo la kushangaza sana kwasababu miamba hii ya Uhispania imejengwa na wachezaji bora duniani. Timu hizi ni kati ya timu zenye mafanikio makubwa kwenye ulimwengu wa soka na pia zinautajiri mkubwa duniani. Mchezo kati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *