img

Wasamehe wazazi wako ili uokoe kizazi chako

October 22, 2020

Na MWANDISHI WETU UHUSIANO uliopo baina ya tabia za wazazi na zile za watoto wao. Kwamba, mara nyingi tunajikuta tukifanya mambo tusiyoyapenda ambayo yakichunguzwa yanaonekana kufanana na yale tuliyoona yakifanywa na wazazi wetu.  Aidha, tuliona pia kuwa kwa kiasi kikubwa matukio yanayotutokea katika umri mdogo yana nguvu ya kuamua mustakabali wetu wa kitabia kama watu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *