img

Wadada wa kazi watakiwa kufuatilia elimu ya uzazi kukwepa mimba zisizotarajiwa

October 22, 2020

Na YOHANA PAUL, MWANZA WASICHANA wanaofanya kazi za majumbani maarufu kama ‘dada wa kazi’ wameaswa kuzingatia elimu ya afya ya uzazi inayotolewa kupitia warsha, semina na vyombo vya habari ili kuepuka mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa. Rai hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutetea Haki za Wafanyakazi wa Majumbani (Wote sawa),,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *